• HABARI MPYA

  Tuesday, February 27, 2024

  JKT TANZANIA NA KMC HAKUNA MBABE, 0-0 MBWENI


  WENYEJI, JKT Tanzania wamelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na KMC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Meja Jenerali Mstaafu Isamuhyo, Mbweni Jijini Dar es Salaam.
  Kiungo Najim Magulu alianza kuifungia JKT Tanzania dakika ya nane, kabla ya mshambuliaji Shaaban Iddi Chilunda kuisawazishia KMC dakika ya 40.
  Kwa matokeo hayo, JKT Tanzania inafikisha pointi 18, ingawa inabaki nafasi ya 12, wakati KMC imetimiza pointi 24 katika mchezo wa 18 nayo inabaki nafasi ya tano.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: JKT TANZANIA NA KMC HAKUNA MBABE, 0-0 MBWENI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top