• HABARI MPYA

  Tuesday, February 06, 2024

  MZIZE MCHEZAJI BORA WA YANGA MWEZI JANUARI


  MSHAMBULIAJI Clement Francis Mzize ameshinda Tuzo ya Mchezaji Bora wa klabu ya Yanga mwezi Januari akiwaangusha wachezaji wenzake, beki Mganda Gift Fred na mzawa, Wilson Chigombo. 
  Ushindi wa tuzo hiyo, Mzize anayejulikana pia kwa jina lake jipya, Walid baada ya kubadili dini na kuwa Muislam atapatiwa kitita en cha Sh. Milioni 3 kutoka kwa wadhamini, kampuni ya NIC Insurance.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MZIZE MCHEZAJI BORA WA YANGA MWEZI JANUARI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top