• HABARI MPYA

  Sunday, February 25, 2024

  NI LIVERPOOL MABINGWA KOMBE LA LIGI ENGLAND


  TIMU ya Liverpool imefanikiwa kutwaa Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao Cup baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Chelsea leo katika mchezo uliodumu kwa dakika 120 Uwanja wa Wembley Jijini London.
  Pongezi kwa mfungaji wa bao hilo pekee, beki Mholanzi, Virgil van Dijk dakika ya 118 akiunganisha kwa kichwa kona ya beki Mgiriki, Konstantinos Tsimikas.
  GONGA HAPA KUTAZAMA PICHA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NI LIVERPOOL MABINGWA KOMBE LA LIGI ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top