• HABARI MPYA

  Wednesday, February 28, 2024

  SIMBA SC YAIFUMUA TRA 6-0 AZAM FEDERATION CUP


  TIMU ya Simba SC imefanikiwa kutinga Hatua ya 16 Bora Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) baada ya ushindi wa 6-0 dhidi ya TRA ya Kilimanjaro leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam.
  Mabao ya Simba yamefungwa na Ladack Chasambi dakika ya 13, Freddy Michael Kouablan dakika 51, Sadio Kanoute dakika ya 39, 53 na 54 na Pa Omary Jobe dakika ya 71.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC YAIFUMUA TRA 6-0 AZAM FEDERATION CUP Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top