• HABARI MPYA

    Friday, February 02, 2024

    YANGA SC YAAMBULIA SARE KWA KAGERA SUGAR BUKOBA


    MABINGWA watetezi, Yanga SC wamelazimishwa sare ya bila mabao na wenyeji, Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba.
    Kwa sare hiyo, Yanga wanafikisha pointi 31 katika mchezo wa 12, sasa wakilingana kwa pointi na wastani wa mabao na Azam FC ambayo imecheza mechi moja zaidi.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA SC YAAMBULIA SARE KWA KAGERA SUGAR BUKOBA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top