// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); DODOMA JIJI NA MASHUJAA ZATOSHANA NGUVU JAMHURI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE DODOMA JIJI NA MASHUJAA ZATOSHANA NGUVU JAMHURI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Sunday, February 11, 2024

    DODOMA JIJI NA MASHUJAA ZATOSHANA NGUVU JAMHURI


    TIMU ya Dodoma Jiji FC imelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Mashujaa FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma.
    Emanuel Mtumbuka alianza kuifungia Mashujaa FC dakika ya 30, kabla ya Hassan Mwaterema kuisawazishia Dodoma Jiji FC dakika ya 43.
    Kwa matokeo hayo, Dodoma Jiji FC inafikisha pointi 19 nafasi ya saba, wakati Mashujaa inafikisha pointi 10 nafasi ya 15 baada y wote kucheza mechi 15.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: DODOMA JIJI NA MASHUJAA ZATOSHANA NGUVU JAMHURI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top