• HABARI MPYA

  Tuesday, February 27, 2024

  MTIBWA SUGAR MAMBO MAGUMU, YABANWA MANUNGU


  WENYEJI, Mtibwa Sugar wamelazimishwa sare ya bila mabao na Dodoma Jiji FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Manungu, Turiani mkoani Morogoro.
  Kwa matokeo hayo, Mtibwa Sugar inafikisha pointi tisa, ingawa inaendelea kushika mkia kwenye ligi, wakati Dodoma Jiji FC inafikisha pointi 20 na inabaki nafasi ya 10 baada ya wote kucheza mechi 17.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MTIBWA SUGAR MAMBO MAGUMU, YABANWA MANUNGU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top