// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); KIKOSI CHA MZIZIMA UNITED 1965 ENZI ZA TAIFA CUP - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE KIKOSI CHA MZIZIMA UNITED 1965 ENZI ZA TAIFA CUP - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
 • HABARI MPYA

  Monday, June 24, 2024

  KIKOSI CHA MZIZIMA UNITED 1965 ENZI ZA TAIFA CUP


  KIKOSI cha timu ya soka ya Kombaini ya Mkoa wa Dar es Salaam ‘Mzizima United’ kabla ya moja ya mechi zake za Kombe la Taifa mwaka 1965, michuano ambayo awali ilikuwa inajulikana kama Sunlight Cup.
  Kutoka kulia waliosimama ni; marehemu Athuman Kilambo (Yanga), marehemu Mussa Libabu (Sunderland/Simba), Mustafa Choteka (Sunderland/Simba), marehemu Abdulrahman Lukongo (Yanga/Cosmo) Gilbert Mahinya (Sunderland/Simba/Yanga), marehemu Ally Kajo (Sunderland/Simba).
  Waliochuchumaa kutoka kulia ni Hamisi Kilomoni (Sunderland/Simba), marehemu Badi Saleh (Yanga), marehemu Mohammed Msomali (Yanga/Cosmo), marehemu Maulid Dilunga (Yanga), marehemu Mbaraka Salum Magembe (Sunderland/Simba), Kitwana Manara (Cosmo/Yanga) na marehemu Abdallah Aziz (JWTZ).
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KIKOSI CHA MZIZIMA UNITED 1965 ENZI ZA TAIFA CUP Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top