• HABARI MPYA

  Monday, December 06, 2021

  RAIS NA MAKAMU WAKE TFF WAKUTANA NA BALOZI WA IRAN

  RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia (wa pili kutoka kulia) na Makamu wake wa Kwanza, Athumani Nyamlani (wa kwanza kulia) wamekutana na Balozi wa Iran nchini Tanzania, Hossein Bahineh (wa pili kutoka kushoto).


  Mkutano wao ulihusu kuzungumzia juu ys ya kuimarisha uhusiano baina ya TFF na Iran ili isaidie soka ya vijana katika ngazi ya shule nchini.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RAIS NA MAKAMU WAKE TFF WAKUTANA NA BALOZI WA IRAN Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top