• HABARI MPYA

  Monday, December 27, 2021

  MZEE KIKWETE AMFARIJI MWAKINYO KUFIWA MAMA


  RAIS mstaafu wa Awamu ya nne, Dk. Jakaya MRISHO Kikwete amewasili Jijini Tanga kumfariji bondia Hassan Mwakinyo kwa kufiwa na mama yake mzazi, Fatuma Hassan Siri.
  Hapa ni wakati Hassan Mwakinyo anamuuguza mama yake. Mungu ampumzishe kwa amani mama wa bondia huyo.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MZEE KIKWETE AMFARIJI MWAKINYO KUFIWA MAMA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top