• HABARI MPYA

  Sunday, December 12, 2021

  SIMBA NA YANGA SASA WAPAMBANA NJE YA UWANJA


  UONGOZI wa Yanga SC umesikitishwa na madai ya Mwenyekiti wa Wanachama wa klabu ya Simba, Murtaza Mangungu juu yao baada ya mchezo wa jana wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baina ya timu hizo uliomalizika kwa sare ya bila kufungana Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA NA YANGA SASA WAPAMBANA NJE YA UWANJA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top