• HABARI MPYA

  Wednesday, December 29, 2021

  YANGA YAMSAJILI KIPA WA MTIBWA SUGAR, MSHERY


  KLABU ya Yanga imemtambulisha kipa Abdultwalib Hamidu Mshery kutoka Mtibwa Sugar kuwa mchezaji wake mpya wa pili katika dirisha dogo baada ya kiungo mkongwe, Salum Abubakar ‘Sure Boy’ kutoka Azam FC.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA YAMSAJILI KIPA WA MTIBWA SUGAR, MSHERY Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top