• HABARI MPYA

  Sunday, December 26, 2021

  DTB YAENDELEZA MOTO CHAMPIONSHIP, YAILAZA GWAMBINA 5-3


  TIMU ya DTB imeendeleza wimbi la ushindi katika Ligi ya kuwania kupanda Ligi Kuu ya Tanzania Bara, ijulikanayo kama Championship baada ya ushindi wa 5-3 dhidi ya wenyeji, Gwambina FC Uwanja wa Gwambina, Misungwi mkoani Mwanza.
  DTB inafikisha pointi 30 na kuendelea kuongoza ligi hiyo kwa pointi nne zaidi ya Ihefu SC inayofuatia, wakati Gwambina inaendelea kushika mkia ikibaki na pointi zake nne baada ya kucheza mechi 12.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: DTB YAENDELEZA MOTO CHAMPIONSHIP, YAILAZA GWAMBINA 5-3 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top