• HABARI MPYA

  Jumatano, Desemba 08, 2021

  MASATU NA MAREHEMU KIZOTA SIMBA NA YANGA 1993


  BEKI wa Simba SC, George Magere Masatu akikimbilia mpira dhidi ya mshambuliaji wa Yanga SC, Said Nassor Mwamba 'Kizota' (sasa marehemu) katika mchezo wa watani wa jadi wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara Machi 27, mwaka 1993 Uwanja wa Taifa (sasa Uhuru) Jijini Dar es Salaam. Yanga ilishinda 2-1, mabao yake yote yakifungwa na Kizota dakika ya 47 na 57, wakati la Simba lilifungwa na Edward Chumila, sasa marehemu pia dakika ya 75.

   


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MASATU NA MAREHEMU KIZOTA SIMBA NA YANGA 1993 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top