• HABARI MPYA

  Tuesday, December 21, 2021

  AGGREY, MUDATHIR WAREJEA KUNDINI AZAM, SURE BOY...


  WACHEZAJI watatu, beki Aggrey Morris na viungo Mudathir Yahya na Salum Abubakar 'Sure Boy' waliokuwa wamesimamishwa kwa utovu wa nidhamu Azam FC wamesamehewa kuelekea mechi ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Ruvu Shooting Alhamisi.


  Hata ni Morris na Yahya pekee walioripoti mazoezini, huku kukiwa na taarifa Sure Boy ameomba kuvunjiwa mkataba aondoke.


  Sure Boy ameomba kuvunjiwa mkataba aondoke na anahusishwa na mpango wa kuhamia Yanga
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AGGREY, MUDATHIR WAREJEA KUNDINI AZAM, SURE BOY... Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top