• HABARI MPYA

  Tuesday, December 21, 2021

  LIGI YA WANAWAKE KUANZA KESHOKUTWA NCHINI

   

  LIGI Kuu ya Wanawake Tanzania Bara inatarajiwa kuanza keshokutwa kwa timu zote 12 kushuka dimbani.
  Mabingwa watetezi, Simba Queens watafungua dimba na Ruvuma Queens Uwanja wa Mo Simba Arena, wakati washindi wa pili wa msimu uliopita, Yanga Princes wataanzia ugenini dhidi ya Baobao Queens Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma Desemba 24.
  Watani wa jadi, Simba Queens na Yanga Princes wakikutana Januari 8, mwakani Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LIGI YA WANAWAKE KUANZA KESHOKUTWA NCHINI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top