• HABARI MPYA

  Tuesday, December 14, 2021

  PRISONS YATOA KOCHA NA MCHEZAJI BORA LIGI KUU NOVEMBA


  MSHAMBULIAJI wa Tanzania Prisons, Jeremiah Juma ameshinda tuzo ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara kwa mwezi Novemba.
  Pamoja naye, Juma aliweka rekodi ya kufunga hat trick ya kwanza ya msimu mwezi huo, kocha wake, Salum Mayanga naye ameshinda tuzo ya Kocha Bora wa Novemba.
  Kwa upande wake, Sikitu Kilakala ameshinda tuzo ya Meneja Bora wa Uwanja kwa kazi yake nzuri Azam Complex, uliopo Chamazi, nje kidogo ya Jiji.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: PRISONS YATOA KOCHA NA MCHEZAJI BORA LIGI KUU NOVEMBA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top