• HABARI MPYA

  Friday, December 17, 2021

  MJINI MAGHARIBI, ARUSHA MABINGWA SOKA TAIFA CUP


  TIMU ya Mkoa wa Mjini Magharibi imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Kombe la Taifa 2021 kwa mchezo wa soka upande wa wanaume baada ya ushindi wa penalti 2-1 dhidi ya Mara kwenye fainali jana Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.


  Upande wa wanawake soka, Arusha ndio wameibuka Mabingwa kwa ushindi wa mikwaju ya penalti pia, 4-3 dhidi ya Dar es Salaam.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MJINI MAGHARIBI, ARUSHA MABINGWA SOKA TAIFA CUP Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top