• HABARI MPYA

  Sunday, December 26, 2021

  YANGA SC YAITISHA MKUTANO WA MATAWI JUMATATU JANGWANI


  UONGOZI wa klabu ya Yanga umeandaa Mkutano maalum na viongozi wa matawi yake utakaofanyika Jumatatu makao makuu ya klabu makutano ya mitaa ya Twiga na Jangwani Jijini Dar es Salaam.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA SC YAITISHA MKUTANO WA MATAWI JUMATATU JANGWANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top