• HABARI MPYA

  Thursday, December 30, 2021

  YANGA YATAJA VIINGILIO KESHO MECHI NA DODOMA JIJI


  KIINGILIO cha chini katika mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baina ya wenyeji, Yanga SC na Dodoma Jiji FC Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam ni Sh.5,000.  Katika hatua nyingine, klabu ya Yanga imerahisisha njia za wapenzi wake kujisajili kuwa wanachama na sasa wanaenda kufanya zoezi hilo kupitia simu zao.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA YATAJA VIINGILIO KESHO MECHI NA DODOMA JIJI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top