TIMU ya Dodoma Jiji FC imefanikiwa kutinga Raundi ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Pan Africans jioni ya leo Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma.
Mabao ya Dodoma Jiji FC leo yamefungwa na Cleophace Mkandala dakika ya 85 na Erick Nkosi dakika ya 90 na ushei.
0 comments:
Post a Comment