• HABARI MPYA

  Jumatano, Desemba 08, 2021

  TAIFA STARS IKIJIANDAA KUIVAA UGANDA KESHO DAR


  WACHEZAJI wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars wakiwa mazoezini Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam kujiandaa na mchezo wa kiirafiki wa kimataifa dhidi ya Uganda kesho kuazimisha miaka 60 ya Uhuru nchini.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: TAIFA STARS IKIJIANDAA KUIVAA UGANDA KESHO DAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top