• HABARI MPYA

  Wednesday, December 15, 2021

  KMC YAICHAPA MAJI MAJI 4-1 CHAMAZI


  TIMU ya KMC imefanikiwa kwenda Raundi ya Nne ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) baada ya ushindi wa 4-1 dhidi ya Maji Maji ya Songea jioni ya leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.
  Mabao ya KMC yamefungwa na Cliff Buyoya dakika ya 25 na Idd Kipagwile matatu, dakika ya 43, 55, wakati la Maji Maji limefungwa na Cheston Method dakika ya 78.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KMC YAICHAPA MAJI MAJI 4-1 CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top