• HABARI MPYA

  Jumapili, Desemba 12, 2021

  AZAM FC YATOA SARE 0-0 NA KAGERA SUGAR CHAMAZI


  WENYEJI, Azam FC wamelazimishwa sare ya bila kufungana na Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Azam Complex, Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.
  Azam FC inafikisha pointi 11 katika nafasi ya saba na Kagera Sugar imetimiza pointi tisa katika nafasi ya tisa baada ya wote kucheza mechi nane.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: AZAM FC YATOA SARE 0-0 NA KAGERA SUGAR CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top