• HABARI MPYA

  Jumamosi, Desemba 11, 2021

  SIMBA NA YANGA ZAMALIZA BILA KUFUNGANA


  MECHI ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara baina ya watani wa jadi, Simba na Yanga imemalizika kwa sare ya bila mabao jioni hii Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.
  Kwa sare hiyo, Yanga SC inafikisha pointi 20 na kuendelea kuongoza ligi kwa pointi mbili zaidi ya mabingwa watetezi, Simba SC baada ya wote kucheza mechi nane.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SIMBA NA YANGA ZAMALIZA BILA KUFUNGANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top