• HABARI MPYA

  Tuesday, December 07, 2021

  MTIBWA YAICHAPA KAGERA SUGAR 1-0 LAKINI KIRAFIKI


  WENYEJI, Mtibwa Sugar wameibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya ndugu zao, Kagera Sugar bao la Riffat Khamis dakika ya 13 katika mchezo wa kirafiki jioni ya leo Uwanja wa Manungu, Turiani mkoani Morogoro.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MTIBWA YAICHAPA KAGERA SUGAR 1-0 LAKINI KIRAFIKI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top