• HABARI MPYA

  Saturday, December 18, 2021

  MECHI YA KAGERA SUGAR NA SIMBA YAAHIRISHWA BUKOBA


  MCHEZO wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baina ya wenyeji, Kagera Sugar na mabingwa watetezi, Simba SC uliopangwa kufanyika Saa 10:00 jioni ya leo Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba umeahirishwa hadi hapo utakapopngiwa tarehe nyingine.
  Taarifa ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara (TPLB) imesema kwamba sababu za kuuahirisha mchezo huo ni wachezaji 16 kati ya 22 waliosafiri na Simba Bukoba wamegundulika kuwa na homa ya mafua.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MECHI YA KAGERA SUGAR NA SIMBA YAAHIRISHWA BUKOBA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top