• HABARI MPYA

  Friday, December 10, 2021

  LIGI YA WANAWAKE; SIMBA NA YANGA JANUARI 8 UHURU


  RATIBA ya Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara imetoka na itaanza Desemba 23 ikishirikisha jumla ya timu 12, huku watani wa jadi, Simba Queens na Yanga Princes wakikutana Januari 8, mwakani Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam.
  Mabingwa watetezi, Simba Queens watafungua dimba na Ruvuma Queens Desemba 23 Uwanja wa Mo Simba Arena, wakati washindi wa pili wa msimu uliopita, Yanga Princes wataanzia ugenini dhidi ya Baobao Queens Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma Desemba 24.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LIGI YA WANAWAKE; SIMBA NA YANGA JANUARI 8 UHURU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top