• HABARI MPYA

  Monday, December 06, 2021

  NYOTA YANGA WAFURAHIA WIKIENDI WHITE SANDS


  WACHEZAJI wa Yanga jana walitoka kwa pamoja na viongozi wao kwenda kufurahia pampja Jumapili yao katika hoteli ya White Sands, Dar es Salaam.  Baada ya kufurahia siku yao jana, kikosi kinarejea kambini kuendelea na maandalizi ya mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya watani wa jadi, Simba Jumamosi Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NYOTA YANGA WAFURAHIA WIKIENDI WHITE SANDS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top