• HABARI MPYA

  Tuesday, December 07, 2021

  MAZOEZI YA YANGA KUELEKEA MECHI NA SIMBA JUMAMOSI


  WACHEZAJI wa Yanga wakiwa mazoezini kambini kwao, Avic Town,  eneo la Somangira, Kigamboni Jijini Dar es Salaam kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya watani wao, Simba Jumamosi Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAZOEZI YA YANGA KUELEKEA MECHI NA SIMBA JUMAMOSI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top