• HABARI MPYA

  Friday, December 10, 2021

  TAIFA STARS B YACHAPWA 2-0 NA UGANDA CRANES DAR

  UGANDA imeichapa Tanzania 2-0 usiku wa Alhamisi katika mchezo wa kirafiki kuazimisha miaka 60 ya  Uhuru wa Tanzania Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.
  Mabao ya Uganda yamefungwa na  Ivan Masaba dakika ya 71 na Joseph Bright dakika ya 90 wote wakimtungua kipa namba mbili nchini, Metacha Mnata wa Polisi Tanzania.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TAIFA STARS B YACHAPWA 2-0 NA UGANDA CRANES DAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top