• HABARI MPYA

  Thursday, December 16, 2021

  SIMBA YAMUACHIA MAUMIVU MAYELE YANGA


  MSHAMBULIAJI Mkongo, Fiston Kalala Meyele ni kati ya wachezaji wanne majeruhi ndani ya kikosi cha Yanga baada ya kuumia kwenye mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya watani, Simba timu hizo zikitoka sare ya bila kufungana Desemba 11, mwaka huu Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA YAMUACHIA MAUMIVU MAYELE YANGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top