• HABARI MPYA

  Saturday, December 18, 2021

  BODI YA LIGI YAUTIA KUFULI TENA MANUNGU COMPLEX


  BODI ya Ligi Kuu Tanzania Bara ya Shirikisho la Soka Tanzania (TPLB) imeufungia tena Uwanja wa Manungu Complex, uliopo Turiani, mkoani Morogoro baada ya mechi mbili tu tangu ufunguliwe.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BODI YA LIGI YAUTIA KUFULI TENA MANUNGU COMPLEX Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top