• HABARI MPYA

  Thursday, December 23, 2021

  KAMPUNI YA MADINI YAMWAGA NEEMA GEITA GOLD


  KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imeingia mkataba wa kuidhamini klabu ya Geita Gold FC kwa dau la Sh. Milioni 500 kwa mwaka mmoja.
  Mkataba huo una kipengele cha kurefushwa iwapo timu hiyo itafanikiwa kusalia katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara msimu unaofuata.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KAMPUNI YA MADINI YAMWAGA NEEMA GEITA GOLD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top