• HABARI MPYA

  Monday, December 27, 2021

  BODI YA LIGI YAZITAKA KLABU KUBORESHA VIWANJA


  BODI ya Ligi Kuu Tanzania Bara ya Shirikisho la Soka Tanzania (TPLB) imezitaka klabu kutumia kipindi cha mapumziko ya kupisha michuano ya Kombe la Mapinduzi kuboresha viwanja vyao.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BODI YA LIGI YAZITAKA KLABU KUBORESHA VIWANJA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top