TFF YAMTUHUMU MTENDAJI WA SIMBA KUFANYA FUJO UWANJANI
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limemtuhumu Mtendaji wa klabu ya Simba, Barbara Gonzalez kufanya fujo katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya watani wa jadi, Yanga Jumapili Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment