• HABARI MPYA

  Wednesday, December 15, 2021

  MAKAMBO APIGA HAT TRICK YANGA YAUA 4-0 ASFC  VIGOGO wa kabumbu nchini, Yanga SC wametinga Raundi ya Nne ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cuo (ASFC) baada ya ushindi wa 4-0 dhidi ya Ihefu SC ya Mbarali mkoani Mbeya usiku huu Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.
  Shujaa wa Yanga leo ni mshambuliaji Mkongo, Heritier Ma Olongi Makambo aliyefunga mabao matatu peke yake dakika ya sita, 23 na 65 na kiungo Mganda, Khalid Aucho dakika ya 45.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAKAMBO APIGA HAT TRICK YANGA YAUA 4-0 ASFC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top