LIPIA MAPEMAAA AZAM TV USIPITWE NA BURUDANI LA WATANI
ZIKIWA zimebaki siku tatu kabla ya mechi ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara, baina ya watani wa jadi, Simba na Yanga, hakikisha umelipia kifurushi cha kisimbuzi chako cha Azam Tv ili usipitwe na mechi hii ya watani. Kwa kifurushi cha shilingi 20,000 unatazama mechi hii.
0 comments:
Post a Comment