KIINGILIO cha chini katika mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara baina ya watani wa jadi, Simba na Yanga Jumamosi Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam ni Sh.5,000.
Simba ndio watakuwa wenyeji wa mchezo wa Jumamosi na tayari wameanza maandalizi ya mechi hiyo, ikiwemo uuzaji wa tiketi.
0 comments:
Post a Comment