• HABARI MPYA

  Wednesday, September 08, 2021

  RONALDO AANZA MAZOEZI MAN UNITED


  MSHAMBULIAJI Mreno, Cristiano Ronaldo akiwa mazoezini na klabu yake, Manchester United Uwanja wa Carrington kufuatia kukamilisha uhamisho wa kurejea baada ya miaka 12 tangu aondoke.
  Nyota huyo mwenye umri wa miaka 36 amejiunga tena na Man United kwa ada ya Pauni Milioni 19.8 kutoka Juventus kufuatia kuichezea Real Madrid tangu aondoke England
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RONALDO AANZA MAZOEZI MAN UNITED Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top