• HABARI MPYA

  Saturday, September 04, 2021

  WAGANDA KUCHEZESHA TANZANIA NA MADAGASCAR


  REFA Ssali Mashood atapuliza kipyenga kwenye mechi ya Kundi J kufuzu Kombe la Dunia Jumanne baina ya wenyeji, Tanzania na Madagascar Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.
  Ssali atasaidiwa na Waganda wenzake, Okello Dick na Katenya Ronald watakaokuwa wanakimbia vibendera pembezoni mwa Uwanja, wakati Subilla Ali Chelangat atakuwa mezani.
  Mtathmini wa mchezo huo anatarajiwa kuwa Ahmed Ali Mohamed wa Somalia na Kamisaa ni Shilunga Erastus wa Namibia.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: WAGANDA KUCHEZESHA TANZANIA NA MADAGASCAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top