Mwanzo > SIMBA > SAID NDEMLA AJIUNGA NA MTIBWA SUGAR HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI MTIBWA SUGAR SIMBA SAID NDEMLA AJIUNGA NA MTIBWA SUGAR KIUNGO wa Simba SC, Said Hamisi Juma ' Ndemla' ametambulishwa kuwa mchezaji mpya wa Mtibwa Sugar ya Morogoro. Mtibwa Sugar, mabingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara mara mbili mfululizo, 1999 na 2000 wamemsajili Ndemla kwa mkopo wa mwaka mmoja kutoka Simba. Saturday, September 04, 2021 HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI MTIBWA SUGAR SIMBA
0 comments:
Post a Comment