Mshambuliaji Cristiano Ronaldo akikimbia kushangilia kishujaa baada ya kufunga bao la pili dakika ya 81 Juventus ikiilaza 2-0 AC Milan Uwanja wa Giuseppe Meazza mjini Milan usiku wa jana katika mchezo wa Serie A, bao la kwanza likifungwa na Mario Mandzukic dakika ya nane katika mchezo ambao mshambuliaji wa AC Milan, Gonzalo Higuain alikosa penalti dakika ya 41 kabla ya kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 83 kufuatia kuonyeshwa kadi ya pili ya njano PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment