• HABARI MPYA

  Friday, November 23, 2018

  NGOLO KANTE ASAINI MKATABA MPYA WA MIAKA MITANO CHELSEA

  Kiungo Mfaransa mwenye asili ya Mali, N’Golo Kante akionyesha dole gumba kwa furaha ya kusaini mkataba mpya wa miaka mitano kuendelea kuichezea  Chelsea hadi mwaka 2023 kwa mshahara wa Pauni 290,000 kwa wiki na kuwakatisha tamaa Paris Saint-Germain waliokuwa wanamtaka mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 27 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NGOLO KANTE ASAINI MKATABA MPYA WA MIAKA MITANO CHELSEA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top