Michy Batshuayi akishangilia baada ya kuifungia mabao yote mawili Ubelgiji dakika za 65 na 81 ikiilaza 2-0 Iceland katika mchezo wa Kundi la Pili Ligi ya Mataifa ya Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Roi Baudouin mjini Brussels PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
12 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment