Mshambuliaji wa DC United ya Marekani, Wayne Rooney akifurahi na mchezaji mwenzake wa zamani wa Everton, Ross Barkley katika mazoezi ya timu ya taifa ya England jana Uwanja wa St George's Park kujiandaa na mchezo maalum wa kirafiki dhidi ya Marekani Alhamisi Uwanja wa Wembley. Rooney amekwishastaafu soka ya kimataifa, lakini ameitwa maalum tu kwa ajili ya mchezo huo, ambao utakuwa wa 120 kwake kuichezea Three Lions PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Snapchat predator jailed for child sex offences
-
Kasey Fitton, 20, is sentenced at Bradford Crown Court and jailed for more
than seven years.
27 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment