• HABARI MPYA

  Jumanne, Novemba 20, 2018

  VAN DIJIK AIFUNGIA BAO KUSAWAZISHA UHOLANZI DAKIKA YA MWISHO YATOA SARE 2-2 NA UJERUMANI

  Beki wa Liverpool, Vigil van Dijk akishangilia baada ya kuifungia bao la kusawazisha Uholanzi dakika ya 90 katika sare ya 2-2 na Ujerumani usiku wa jana kwenye mchezo wa Kundi la Kwanza Ligi ya Mataifa ya Ulaya Uwanja wa VELTINS-Arena mjini Gelsenkirchen.
  Bao lingine la Uholanzi lilifungwa na Quincy Anton Promes dakika ya 85 baada ya Ujerumani kutangulia kwa mabao ya
  Timo Werner dakika ya tisa na Leroy Sane dakika ya 19.
  Uholanzi inatinga Nusu Fainali ya michuano hiyo kama kinara wa kundi ikiizidi kwa wastani wastani wa mabao Ufaransa baada ya wote kumaliza na pointi saba, huku Ujerumani ikishika mkia kwa pointi zake mbili 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: VAN DIJIK AIFUNGIA BAO KUSAWAZISHA UHOLANZI DAKIKA YA MWISHO YATOA SARE 2-2 NA UJERUMANI Rating: 5 Reviewed By: Mwakasege Blog
  Scroll to Top