• HABARI MPYA

  Jumamosi, Novemba 17, 2018

  NEYMAR AFUNGA BAO PEKEE BRAZIL YAILAZA 1-0 URUGUAY LONDON

  Nahodha wa Brazil, Neymar akishangilia baada ya kuifungia bao pekee timu yake dakika ya 76 kwa penalti katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Uruguay kwenye mchezo wa kirafiki Uwanja wa Emirates mjini London ulioshuhudiwa kadi nane za njano zikitolewa kwa wapinzani hao wa Amerika Kusini 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: NEYMAR AFUNGA BAO PEKEE BRAZIL YAILAZA 1-0 URUGUAY LONDON Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top