• HABARI MPYA

  Saturday, November 24, 2018

  SANE AFUNGA MAWILI MAN CITY YAICHAPA WEST HAM 4-0

  Leroy Sane (kulia) akishangilia na Raheem Sterling baada ya wote kuifungia Manchester City katika ushindi wa 4-0 dhidi ya wenyeji, West Ham United leo Uwanja wa London kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England. Sane alifunga mabao mawili dakika za 34 na 94 na ushie na Sterling dakika ya 19, wakati bao lingine limefungwa na David Silva dakika ya 11 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SANE AFUNGA MAWILI MAN CITY YAICHAPA WEST HAM 4-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top