• HABARI MPYA

  Jumamosi, Novemba 24, 2018

  KOCHA MPYA REAL MADRID ALA KICHAPO CHA KWANZA, APIGWA 3-0 IPURUA

  Kiungo wa Real Madrid, Luka Modric akijaribu kuutelezea mpira kuurejesha uwanjani leo katika mchezo wa La Liga dhidi ya wenyeji, Eibar 3-0 Uwanja wa Manispaa ya Ipurua. Eibar imeshinda 3-0 mabao yake yakifungwa na Gonzalo Escalante dakika ya 16, Sergi Enrich dakika ya 52 na Kike dakika ya 57 huo mchezo wa kwanza timu hiyo inapoteza chini ya kocha mpya, Santiago Solari 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: KOCHA MPYA REAL MADRID ALA KICHAPO CHA KWANZA, APIGWA 3-0 IPURUA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top